Magambo ge Kifuliiru mu Kiswahili
Loza amagambo ge Kifuliiru mu Kiswahili. Tumenye amagambo gitu mu zindi ndeto.
A
A ni herufi ya alfabeti
Abagingi
Wazee wa busara
Abashasi
Watafiti
Amagala
Mwili
Amahasha
Mapacha
Amaji
Maji
Amalanga
Uso
Amaziiko
Mazishi
Amerika
Amerika
Australie
Australia
Ayivugwe
Ayivugwe ni jina katika Lugha ya Kifuliiru. Kwa kiswahili ni Asifiwe. Jina hili linapewa hususan watoto wa kiume ila hata watoto wakike wanalo.
B
B. Hii ni herufi ya pili katika alfabeti ya Kifuliiru, vivyo hivyo kama katika lugha ya Kiswahili. Herufi hii haitwamkwi kama katika lugha ya Kiswahili, bali inatamkwa BH.
Bibiliya
Biblia
Bitaabo
Kitabu
Bitondola byo’mundu
Sehemu za mwili wa mtu
Bugale
Utajiri
Bugashane
Bulaya
Ulaya
Bushokwe
Bushokwe ni kijiji kilicho huko katika ufalme wa Wafuliiru
Buvira, Uvira
Uvira
D
D ni herufi ya alfabeti ya Kifuliiru
Fuuvi nzira nyina
Yatima wa mama. Mtoto aliyefiwa na mama.
Fuuvi nzira yishe
Yatima wa baba. Mtoto aliyefiwa na baba.
Gambo
Neno
Ibufuliiru
Ibufuliiru ni mahali ambapo panapatikana katika nchi ya Kongo ya Kidemokrasia, katika mkoa wa Kivu ya Kusini (Sud-Kivu), tarafa la Uvira.
Ifuuvi
Yatima
Igambo
Neno
Ikigandaaro
Kilio
Ikigonia-hala
Darubini
Ikimaka
Kijana msichana
Ikina-bwenge
Kompyuta
Ikinabwenge
Kompyuta
Ikindu
Kitu
Ikindu kilebe
Kitu fulani
Ikirunda
Maiti
Ikyangeesa kya’mabiihe
Mkesha wa msiba
Imitono
Indalo
Shamba
Inzaliro
Iradiyo
Redio
Itwe
Kichwa
Kahamba
Katwenge
Kifuliiru
Kifuliiru. Ligha ya Wafuliiru
Kigundu
Mti wa ndizi
Kihugo
Nchi, Dunia, ulimwengu
Kirongoozi
Kiongozi
Kisike
Makiki
Kubula umundu
Kumkosa mtu
Kudeka
Kupika deki.
Kudeta
Kusema
Kufula
Kufua
Kufwa
Kufa. Kupoteza uhai.
Kufwirwa
Kufiwa, kupata msiba
Kugandanika
Kumaliza kilio
Kuheta
Kufunza
Kukaraba
Kuosha watoto
Kukombeka, kugabulira
Kumlisha mtoto mchanga
Kukuya-kuya
Kuleya watoto vizuri
Kulera
Kulea
Kurongoora
Kuongoza
Kushata
Kucheza
Kushona
Kushona
Kushonooka
Kuteremka
Kuyandika
Kuandika
Kuyigiriza
Kufunza
Kuyigiriza ulusimbahwa
Kufunza malezi mazuri
Kuyikumba
Kuabudu
Kuyimba
Kuimba
Kuyoza
Kunyonyesha
Kuzaata
Kutembea
Kuziika
Kuzika
Kuzika
Kundidimia majini au matopeni
Magoloovi
Maji
Mahinga lubanda
Maji
Malanga
Paja la uso
Mufuliiru
Mufuliiru
Muhyani
Mrithi
Mukuba
Kwa sababu
Mulezi
Mulezi
Mushaano
Mushaano ni kwa lugha ya KIfuliiru, kwa kiswahili ni unga.
Mushiiha
Simu
Naburisirongo
Simu
Namufwire
Aliyefiwa na mume au na mke.
Namuyehuulo
Tovuti
Ndeto
Lugha
Shalalo
Chemchemi
She-baana
Mkuu wa familia. Baba wa familia
Shengero
Kanisa, kundi la watu
Ubuhinge
Shamba iliyolimwa
Ubulalwe
Ulevi
Ubulamu
Uburambe
Ubuuko
Historia
Ubwitegeereze
Unyenyekevu, umakini
Ukudeta
Ukudetera
Kutetea
Ukugashanira
Ukugashanirwa
Ukukola
Kutumika